IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen, Abdul‑Malik al‑Houthi, amelaani vikali ukatili unaofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wanawake wa Palestina, akisema maelfu ya wanawake—akiwemo wajawazito, wasichana wadogo na wazee—wameuawa katika maeneo yote yanayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3481649 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/12
IQNA – Hafla maalumu ya usomaji wa Qur’ani Tukufu imefanyika wiki hii katika haram tukufu ya Imamu Ali (AS) mjini Najaf, Iraq.
Habari ID: 3481644 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/11
IQNA – Kadiri siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Bibi Fatima Zahra (AS) inavyokaribia, maelfu ya matawi ya maua halisi yamepamba uwanja na ukumbi wa haram tukufu ya Imam Ali (AS).
Habari ID: 3481640 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/10
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, hadhi ya wanawake katika Uislamu ni tukufu na ya juu mno na akaongeza kwamba: "tafsiri inayotoa Qur'ani Tukufu kuhusu utambulisho na shakhsia ya mwanamke ni ya juu zaidi kiutukufu na ya kimaendeleo zaidi."
Habari ID: 3481612 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/04
IQNA-Mkutano wa kielimu wa Qur’anI Tukufu uliopewa jina “Bibi Fatima Zahra (SA) na Sheria za Uteuzi wa Kimaumbile” umefanyika katika jimbo la Diyala, Iraq ukiratibiwa na Jumuia ya Kisayansi ya Qur’an chini ya usimamizi wa Haram ya Abbas (AS).
Habari ID: 3481583 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/28
IQNA – Mwandishi wa Morocco amesema kuwa hadhi ya kipekee ya Bibi Fatima (AS) inatokana na sifa za kiroho ambazo, kwa hoja zake, zinamweka binti wa Mtume Muhammad (SAW) juu ya wanawake wote katika historia.
Habari ID: 3481559 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/23
IQNA – Bibi Fatima (SA) ni mfano wa subira kuu na mwanga wake unaendelea kung’aa, asema Profesa wa dini kutoka Marekani.
Habari ID: 3481506 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/12
IQNA – Mwanazuoni mmoja amesema kuwa Bibi Fatima al-Zahra (AS) ndiye dhihirisho halisi la maana ya “Kawthar” kama ilivyoelezwa katika Qur’ani Tukufu, akimtaja kuwa ni chemchemi ya baraka za kiroho na maarifa ya kijamii, ambaye athari yake inaendelea kuunda fikra za Kiislamu hadi leo.
Habari ID: 3481474 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/05
IQNA – Katika mji wa Mashhad, bendera ya kijani iliyokuwa juu ya kuba ya kaburi tukufu la Imam Ridha (AS) imeondolewa na kubadilishwa na bendera nyeusi, kuashiria kuanza kumbukumbu ya shahada ya Bi Fatima Zahra (SA), binti mtukufu wa Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3481466 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/04
Ahul Bayt (AS)
IQNA - Idadi kadhaa ya maqari au wasomaji Qur'ani Tukufu kutoka Iraq na nchi nyingine watashiriki katika programu ya usomaji wa Qur'ani Tukufu katika Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq.
Habari ID: 3478134 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/02
IQNA- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameshiriki kikao cha maombolezo ya kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatimatu-Zahra (SA), binti kipenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW na mke wa Amirul Muuminin Ali bin Abi Talib (AS), Imamu na Kiongozi wa Waislamu baada ya Mtume (SAW).
Habari ID: 3478047 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/17
Mawaidha
IQNA-Amani iwe juu yako Ewe Fatma Zahra mwanamke bora wa duniani na Akhera, Bibi wa wanawake wa peponi, Mtukufu as-Sidiqah at-Tahirah Fatimatuz Zahra (Salaamullahi Alayha). Ni matumaini yangu kuwa mtakuwa nami hadi mwisho wa kipindi hiki maalumu kutegea sikio yale niliyokuandalieni kwa leo.
Habari ID: 3478046 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/17
Ahul Bayt wa Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Iran amemtaja Bibi Fatimatu-Zahra SA, binti kipenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW kama kigezo cha mwanadamu na shakhsia mashuhuri aliyeleta mageuzi katika historia ya jamii ya wanaadamu.
Habari ID: 3476314 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/27
TEHRAN (IQNA). Sherehe za Mazazi ya Bibi Fatima Zahra SA hivi karibuni zimewaleta pamoja Waislamu na wapenzi wa Ahul Bayt wa Mtume SAW katika katika Markaz Mafaatihul Jinaan, Kiguza, Mkuranga, Pwani nchini Tanzania.
Habari ID: 3471854 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/26